Kissing Strangers ndio wimbo utakaofuata kutoka kwa Nicki Minaj.
Wimbo huo unatarajiwa kuachiwa Ijumaa hii ya April 14 kwa mujibu wa mtandao wa Instagram wa rapper huyo. “Roughed him up a lil bit on the set of the video. He’ll live 😉 @joejonas 😩 #KissingStrangers 💋👥 4/14 @dnce,” ameandika Nicki kwenye mtandao huo.
Minaj anaachia wimbo huo baada ya mwezi uliopita kuachia nyimbo tatu kwa pamoja zikiwemo ‘ No Frauds’ pamoja na ‘Changed It’.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni