Mwimbaji wa nyimbo za injili anaekuja kwa kasi hivi karibuni {siku za usoni} ataachia album yake itakayo kwenda kwa jina la RAFIKI
yenye nyimbo zipatazo tisa ambapo atazindua album yake na utapiata kwa mfumo wa audio na hivi sasa anamalizia nyimbo zake ambazo utazipata kwa mfumo wa video
Akipiga stori na g.lovetz RITHA KOMBA amesema Natarajia kuachia album yenye nyimbo 9
mpaka sasa kuna video zipatazo 5 ambazo tayari zimeshakamilika ila album yangu kwa sasa itakuja kwa mfumo wa audio then video itakuja kivingine
Pia RITHA KOMBA hakuishia hapo ameahidi kuachia VIDEO&AUDIO kwa mpigo na hayuko pekee yake amemshilikisha RACHEL MWAMTOBE
Nyimbo itakwenda kwa jina la NGUVU YANGU
Pia namalizia kwa kuwashukulu wote wanao ni sapoti wanaonitia nguvu
watu wa media asanteni sana sana na MUNGU AWABARIKI NYOTE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni