burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

7 Apr 2017

Huyu ndiye mwalimu wa Ronaldo kwenye mbio


Nyota wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ambaye ni kati ya wachezaji wenye kasi sana hasa anapokuwa akiufukuza mpira.


Imejulikana anayemsaidia nyota huyo wa Ureno kuwa tishio katika kasi ni mwanariadha mstaafu wa Uingereza, Samantha Clayton.

Samantha ambaye saivi ana umri wa miaka 37, aliwahi kuwa bingwa katika Mchezo wa Olimpiki akishinda katika michezo iliyofanyika nchini Ureno mwaka 2000.

Mwanamama huyo amekuwa akifanya mazoezi na Ronaldo.

Ronaldo amekuwa akifanya naye mazoezi na kupata mafunzo namna ya kukimbia kwa kasi inapotakiwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni