Boss wa blog ya G.lovetz ameiambia blog yake kuwa kila siku hupata marafiki wapya na ni wazuri pia huwa anapenda sana kutembelea sehemu za kuosha macho yani kuburudisha nafsi
maneno hayo yalimtoka siku ya jana ambayo ilikuwa ni wikiendi nzuri sana kwake kwa kupata marafiki wapya wengi wao ni wachangamfu na wenye furahaa pia
pia anaongezea kwa kuwashukulu wote waliokuwepo eneo la tukio na kuwapomgeza sana wote walifurahi mpaka mwisho wa siku nzima
Ebhnaa eehh nisiwe mchoyo nakupa full stori kwa njia ya picha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni