
Yule mkali wa CRAZY FOR YOU asema kwa sasa yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ingawa jina hakuweka wazi lakina kasema ni kazi nzuri na namaamini itapendwa na watu wote wazee kwa vijana watoto na wakina dada pia
Rocky akiongea na G.LOVETZ aliongeza kuhusu ujio wa hio ngoma alisema "nimejipanga kutoa kitu kizuri ambacho kila mtu akisikia atasema yes kweli hii ni kazi nzuri pia natoa shuklani zangu za dhati kwa mashabiki zangu wote wanaopenda na wanaosapoti mziki wangu"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni