
YULE mkali mwingine toka bongo kafunguka kwa kusema huwezi pata mafanikio bila kupitia changamoto
Gbros De Voice aliiambia G.LOVETZ kuwa yupo katika kutengeneza mziki mzuri na wenye hadhi na kukubalika na jamii nzima iwe kwa watoto na wakubwa pia hivyo subirieni kitu kizuri toka kwangu. alimalizia kwa kusema anawapenda wote
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni