Pichani Ruby akiwa Kwenye Tamasha la EFM |
Mwimbaji Ruby ambae alikuzwa na kulelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya vizuri katika mashindano ya Fiesta Diva Nyota miaka kadhaa iliyopita amejikuta katika ugomvi wa kimaslahi na walezi wake Clouds FM baada ya kushindwana malipo katika Matamsha ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa..
Ruby kwa sasa inaonekana amekimbili kwa washindani wa Clouds FM ambani ni EFM Radio, Radio hiyo mpya ambayo ni washindani wa Clouds FM kwa jijini Dar es Salaam wamechukua fursa hiyo na sasa wanamtumia katika matamasha yao ya Mziki Mnene Sehemu mbali mbali...