Nguvu ya mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu kutengeneza zaidi bidhaa zenye jina lake na kuziuza kwa Watanzania inaendelea kuonekana, ni juzijuzi tu alileta lipstick zenye jina la KISS BY WEMA.
Sasa leo August 16 2016 kupitia mahujiano maalum mwenyewe kazungumzia kuhusu bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na kuyaongea haya>>>Mimi naweza kusema kwamba idea imetoka kwa Mama kwamba anapenda sana vitu vya asili ukienda nyumba kwa Mama yangu utakuta viatu vyake vingi vya kimasai na hii ni idea yake’
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni