Msanii anaetamba kwa nyimbo yake ya jike shupa akiwa na alikiba alimaarufu kwa jina la nuhu mziwanda hivi sasa anakujia na hili apa
nuhu mziwanda kaamuwa kufungua studio yake itakayokuwa inajihusisha na utengenezaji wa auidio
pekee na siku za hivi karibuni itakuwa tayari kwa kuwa ipo kwenye hatua za mwisho za ujenzimziwanda kawaomba mashabiki wake wote kukaa mkao wa kula kwa kuwa hii studio sio ya kitoto
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni