Ni August 20, 2016 ambapo wakazi wa mkoa wa Mwanza walipata burudani kali kupitia tamasha la Fiesta ambalo liliwakutanisha wasanii wa Bongo Fleva na mkali kutokea Nigeria Wizkid kwenye jukwaa moja viwanja vya CCM Kirumba.
Sasa miongoni wasanii waliotoa burudani jukwanii ni hii ya Alikiba alivyoingia kwa suprise huku watu hawakutegemea kama hata ni miongoni mwa watakapanda jukwaani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni