Karibuni kwenye blog yangu kwa taarifa muhimu zitakazokuwa zikipatikana hapa,kujua nafanya nn na nahitaji sapoti yenu wadau wanaopenda muziki mzuri,pia unaweza kuidownload video yangu mpya kwa kufuata link hiyo hapo chini,,,,,
http://yputu.be/Yj_PgyozrY
Asanten sana na nawapenda sana fans wangu na nawahidi kutowaangusha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni