Baada ya show zake ambazo azilizowahi kuzifanya kwenye tamasha la Fiesta 2014 kupitia single yake iitwayo Pesa, mkali huyo amemshukulu MUNGU na kueleza faida alizopata ikiwemo kukamilisha ujenzi wa nyumba yake mpya.
‘Kabla ya Fiesta ya mwaka 2014 maisha yangu hayakuwa mazuri kwahiyo nawashukuru B Dozen, Ruge kwa kunipa fiesta na nikazunguka mikoa yote kwahiyo mimi Fiesta naichukulia kama Baba yaani mwakozi kwani nilikuwa nahitaji kama milioni 40 ili nifanikishe nyumba yangu mpya nakumbuka katika tamasha la Fiesta nilipiga kama mikoa 15′ alisema Mr blue
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni