Artist from Tanzania II Best perfomer II Song Writter II G.LOVE TANZANIA ENTERTAINMENT Dar es Salaam Tanzania Mobile:0766065169 Email.ggodyan@gmail.com.
burudan
https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/
16 Ago 2016
Msanii Gbross De Voice awatakaa mafansi wake kuwa tayari na .......................
Namleta kwenu kijana wako pendwa msanii machachali chipukizi wa BONGO FLEVA kutoka Tanzania akifahamika kwa jina la GBROS DE VOICE ni kijana ajitumae vyema katka kazi yake embu fanya kucheki kazi zake kwa YouTube na mkito hakika hutojuta kumjua kijana uyu,ONLY YOU na BYE BYE ni miongoni mwa kazi zake zipatkanazo mitandaoni.Kwa kutaka kujua mengi zaidi waweza mfollow kwa social network instagram @gbross_de_voice Facebook @Gbros De Voice na YouTube @Gbros de voice.Asanten
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni