Nifahari kubwa kuona ngoma za nyumbani zinapata airtime katika vituo vikubwa vya TV za kimataifa kama Trace TV na Sound City leo August 22 2016 wasanii walioingia kwenye list hii ni Diamond Platnumz,Vanessa Mdee, Nedy Music, Mayunga na Alikiba.
Mtu wangu nakusogezea ngoma 8 za bongo fleva zimepewa airtime ikiwemo‘nana‘ yaDiamond Platnumz ft Flavour, ‘Aje‘ ya Alikiba, ‘Nobody but me‘ ya Vanessa Mdee ft K.O, ‘Niroge’ ya Vanessa Mdee, ‘Usiende mbali” ya Nedy Music ft Ommy Dimpoz,‘Kidogo‘ ya Diamond Platnumz ft Psquare na ‘Please don’t go away‘ ya Mayunga ft Akon.
Ngoma hii YA Diamond Platnumz ‘kidogo’ imeingia kwenye Urban hit list ya trace na ndio mtanzania pekee kwenye chat hizo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni