Tuzo za muziki za MTV Africa 2016 maarufu kama MTV MAMA zinatarajiwa kufanyika tarehe 22 October Johannesburg Afrika Kusini.
Uzinduzi wa tuzo hizo ulifanyika August 23, 2016 mbele ya waandishi wa habari mbalimbali, pia kupitia kwenye mtandao wao wa twitter walitoa taarifa hizo kwa mashabiki kwa kuwepo kwa tuzo hizo 2016.
#MTVMAMA2016 its back!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni