burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

16 Ago 2016

Audio Mpya:Young Killer-kumekucha



Star wa Fiesta Super Nyota 2012 kutoka Mwanza Young Killer baada ya kufanya vizuri kwenye hit single aliyomshirikisha Mr Blue iitwayo Kumekucha sasa time hii ametuletea hii single mpya aliyoipa jina la Mtafutaji.imetayarishwa na producer Mr T Touch.
Unaweza ukabonyeza link kuisikiliza hii single mpya ya Young Killer
http://www.hulkshare.com/3vpwwfq0w69s

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni