burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

18 Ago 2016

''Perfect Combo" Ya Joh Makini Inazidi Sumbua kwa kuchukua airtime Trace TV

Video za muziki wa Bongo fleva zinazidi kuchukua airtime kwenye vituo vikubwa vya TV za kimataifa, Taarifa hii ikufikie mtu wangu kwamba Staa wa muziki kutoka Tanzania Joh makini  amezichukua headlines kwenye kituo kikubwa cha burudani Trace Tv baada ya ngoma yake mpya ya ‘Perfect Combo‘ kupigwa kama Africa Fresh.
Nyimbo hii ni collabo ambayo Joh Makini ameifanya na mwanadada kutoka nchini Nigeria Chidinma












Hakuna maoni:

Chapisha Maoni