Miezi kadhaa iliyopita, TID alilalamika kuwa Bill ni mtu mwenye tamaa na asiye na shukrani baada ya kuondoka Radar Entertainment licha ya kumlea na kumfikisha pahali.
Kwa sasa wawili hao wapo pamoja na wanaonyesha ushirikiano katika mambo yao ya muziki.
Alhamisi hii Bill Nas alipost picha instagram akiwa na TID na kuandika:
#inthekitchen with @tidmusic !! #NENGA #itsbeenawhile Yo! 2ko Around MazeeeBill Nas aliwahi kumshirikisha TID kwenye wimbo ‘Ligi Ndogo’ ambao ulifanya vizuri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni