Kundi la muziki kutoka Afrika Kusini, Mafikizolo limetangaza kuachia wimbo wao mpya walioupa jina la ‘Kucheza’ wiki ijayo.
Kupitia mtandao wa Instagram, mmoja ya member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza ameandika, “Kucheza by @mafikizolo_africa dropping next week!!! #Anticipate.”
Siku chache zilizopita muimbaji huyo aliandika kwenye mtandao huo kuwa mmoja kati ya wasanii kutoka kwenye Bongo Fleva [Vanessa Mdee] ni miongoni kati ya wasanii walioshiriki kuandika wimbo huo na umetayarishwa na Dj Maphorisa wa Afrika Kusini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni