burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

8 Okt 2016

Jaydee adai video ya ‘Sawa na Wao’ haikumtoa jasho

14547653_337206483337161_5434089216713687040_n

Malkia wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jaydee amesema pamoja na kuwa video kali, Sawa na Wao haimkutesa wakati wa kuifanya
.
Jaydee amesema kuwa kati ya video zake ambazo hajahangaika hata kidogo ni kuzikamilisha, ni hiyo ya sasa.
“Naweza nikasema kati ya video zangu ambazo sijahangaika hata kidogo ni ‘Sawa Na Wao’. Kila kitu alifanya director mimi nilimuelezea nini maana ya wimbo huo, basi,” Jide aliekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV.
Mpaka sasa video hiyo imepata views zaidi ya 130k kwenye mtandao wa YouTube.













Hakuna maoni:

Chapisha Maoni