anaitwaga C.E.O wa MTAA KWA MTAA atakuwa ndani ya papaso ya Djaro Arungu alise na g.lovetz kuwa usije kosa ukiwa kama shabiki wake
aliongezae kuwa atkuwa live ndani ya TBC FM juma tano hii na BABA MZAZI @Djaro Arungu hakika hii sio ya kuikosa kabisa ifakapo saa moja kamili kuwa karibu na redio yako ukifungulia TBC FM huyu jamaa ana mengi ya kukwambia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni