burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

23 Mac 2017

Drake akutana na mtu muhimu maishani mwake


Drake amefanikiwa kukutana na mtu muhimu zaidi katika maisha yake ya muziki. Rapper huyo alikutana na Sade ambaye ni muimbaji wa Uingereza anayevutiwa kufanya naye kazi kwa muda mrefu.

Mwaka 2011 Drake alitakiwa kushiriki kwenye wimbo wa muimbaji huyo ‘The Moon and Sky (Remix)’ lakini ilishindikana na nafasi yake ikachukuliwa na rapper Jay Z.



Wiki hii rapper huyo kutoka Toronto, amepost picha akiwa na Sade na kuandika, “Two very important ladies in my life. 🌺.”
Kukutana kwake na Sade kumfanya hadi achoree tattoo mpya yenye sura ya muimbaji huyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni