burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

9 Jul 2017

Zawadi aliyotoa Nisher kwa mashabiki katika Birthday yake


Director wa video Bongo, Nisher ameachia video kama zawadi leo hii wakati anasherekea siku yake ya kuzaliwa.

Video hiyo ya wimbo ‘Kafanuni’ iliambatana na ujumbe mfupi aliouandika katika mtandao wa Intagram akielezea furaha yake.

So Kabla sija tengeneza historia nyingine napenda nimshkuru Mwenyezi Mungu Kwa uhai na vipawa vyote, bila yeye mimi sii kitu. Napenda kuwashukuru Mashabik zangu wote duniani kwa kunipenda na kua pamoja nami kwa miaka yote hii 6 kwenye Game bila kuchoka kunifatilia… Miaka 28 duniani Nimejifunza mengi (bado mwanafunzi), nimesemwa, nimetukanwa nimetengwa na marafiki tulioanza wote safari, nimekanyagwa, nimechafuliwa jina, but mwisho wasiku niliinuka, nikaoga, nikapiga Bonge moja la Chain, nikaingia mjini wakashangaa!!! Alhamdulillah….. #HAPPBIRTHDAYNISHER28 #STILLHERE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni