burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

16 Ago 2017

EXCLUSIVE INTERVIEW G.LOVETZ Vs SISTER RAHIMA AELEZA MENGI JUU YA MUZIKI WAKE (Audio)

akiongea na G.LOVETZ kwa njia ya simu SISTER  RAHIMA amesema Kwa sasa video yangu ilipofika namshukulu mungu kwa kweli  mana bila  yeye nisingeweza kitu na pia kazi ikiwa nzuri ndo chanzo cha msanii kukubalika na watu

kwa upande wa kushoot video haikunisumbua sana sababu nilishajipanga na pia niliipania sana na location ilikuwa huku huku zenji ingawa watu hawaamini kwa jinsi ilivotokea

Na nimejipanga haswa katika usambazaji wa video yangu na hivi karibuni nakuja dar kwa ajili ya hii video yangu  na baada ya hii kuna vitu vingine vinakuja siwezi kuvitaja mana nataka iwe zawadi ya ghafla kwa mashabiki wangu,alisema SISTER RAHIMA


KAMA BADO HUJAKIONA KICHUPA CHA SISTER

BONYEZA

NI mengi sana alifunguka kuhusiana na muziki wa sasa 
kumsikiliza na kudanwload 

EXCLUSIVE INTERVIEW

BONYEZA

HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni