burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

20 Ago 2017

EXCLUSIVE INTERVIEW Mr medical NA G.LOVETZ ADAI ANAMPANGO WA KUFANYA MAPINDUZI YA MUZIKI NDANI YA IRINGA NA TZ (Audio)

Image may contain: 1 person, closeup

unajua muziki ninaofanya una ladha na vionjo tofati na wengine pia nna plani ya kuachia kichupa kikali ambacho kila mtu atasema yes kazi nzuri

Mapokezi ya ngoma yangu yako poa sana mana wengi hawakutegemea  mimi kutoa kazi nzuri kiasi kile wengi walisema yess kazi nzuri

pia nawashukulu sana sana mafansi wangu kwa mchango mkubwa wanaonionesha

EBHANA NI MENGI SANA HUYU MCHIZI ALIYAONGEA ILA YOTE YAPO HAPO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

KUSIKILIZA NA KUDAWNLOAD INTERVIEW YA 

Mr medical

GUSA






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni