burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

22 Ago 2016

Alikiba aIivowafanyia suprise watu wa mwanza kwenye fiest 2016

Ni August 20, 2016 ambapo wakazi wa mkoa wa Mwanza walipata burudani kali kupitia tamasha la Fiesta ambalo liliwakutanisha wasanii wa Bongo Fleva na mkali kutokea Nigeria Wizkid kwenye jukwaa moja viwanja vya CCM Kirumba.
Sasa miongoni wasanii waliotoa burudani jukwanii ni hii ya Alikiba alivyoingia kwa suprise huku watu hawakutegemea kama hata ni miongoni mwa watakapanda jukwaani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni