burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

21 Ago 2016

HAYA SASA KUMEKUCHA SIMBA ATANGAZA DAU TENA NISIKUCHOSHE SOMA HAPA UJUE KIUNDANI ZAIDI

Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya>>>Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’
Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia MuruaaaaaaaaaaaaaaaaπŸ˜ŠπŸ˜„πŸ˜πŸ˜šπŸ˜…Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa KwioπŸ˜ŠπŸ˜† πŸ˜˜πŸ˜πŸ’žπŸ’•πŸ’ Mi nampenda huyu dada’Diamond Platnumz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni