burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

16 Ago 2016

Je wakijua kilichomfanya Idris Sutlan kususia show ya Vigoma yake Wema Sepetu???? hia apa sababu ........

Kumekua na stori zinaendelea mitandaoni na hasa ni baada ya mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Idris Sultan kutokuonekana kwenye show ya mpenzi wake Wema Sepetu.
Sasa basi leo August 16, 2016 staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliyaandika haya..>>>>Sipendi kuona watu wakiingia na kuongea kama wanajua maisha yangu na watu wangu wa karibu, makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu mnaanza “Ndio asingefanya vile kama sio wewe kufanya hivi” mnakazana kusema eti naposti wanawake mara ooo porojo kibao. Sina freedom ya kumpost dada angu ? Kweli/-
Au rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi mpost nikampongeza ? Mnauliza kwanini sijaenda vigoma nimesema because show yangu hakuja hata moja na nimeenda show zake zote na yeye halalamiki because anajua nimesema siendi fair enough mbona hamjaongelea hilo ?’
SWE3444
I repeat nikikaa kimya is for a pure reason that its not anyones business this is my personal life kama mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza kwanini mpaka am selling out hajaja. Give me a break sina maisha ya kuigiza lets have respect for each other bana’-
Na nimesema msiniite shemeji for one big good reason, imekua too much i am a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua this from the beginning nisingeruhusu mniite tangu mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria negative tu. Na sikua na haja ya kuandika yote haya pia 😊✌🏽️ #TusichukulianePoa‘-

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni