burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

30 Ago 2016

Ukweli wa tetesi za Mr Blue kuwasiliana na Ex wake Najma…..

Headlines za Mr Blue kuwa na mawasiliano na Ex wake wa zamani Najma zimechukua nafasi sana kwenye mitandao ya kijamii, sasa leo August 30, 2016 kaeleza ukweli  kuhusiana na tetesi hizo.
star huyo aliipata heshima na kuyaongea haya>>>Sio kweli na ndio kitu ambacho kimenipa hasira kwasababu mpaka mke wangu amekasirika sana nashangaa wameongea kwenye radio kwamba mimi nimempigia  Najma’
‘Ukweli ni kwamba yeye alinipigia na kuomba kufanya collabo na mimi kwahiyo nilimwambia kwanza itabidi nizungumze na mke wangu maana anajua nilikuwa nae kwenye uhusiano kwahiyo itabidi afahamu kwamba lakini imekuwa tofauti kabisa na watu wanavyoongea’

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni