burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

27 Ago 2016

Nuhu Mziwanda anakuja na hii apaa.....!!!!!!



Msanii anaetamba kwa nyimbo yake ya jike shupa akiwa na alikiba alimaarufu kwa jina la nuhu mziwanda hivi sasa anakujia na hili apa 

nuhu mziwanda kaamuwa kufungua studio yake itakayokuwa inajihusisha na utengenezaji wa auidio
pekee na siku za hivi karibuni itakuwa tayari kwa kuwa ipo kwenye hatua za mwisho za ujenzi
mziwanda kawaomba mashabiki wake wote kukaa mkao wa kula kwa kuwa hii studio sio ya kitoto


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni