burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

16 Ago 2016

Baada ya Kumaliza na BASATA Nay kaachia Single mpyaaa


Baada ya kuchukua headlines za kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’ kutokuwa wa kimaadili katika jamii, sasa basi time hii  ameachia single nyingine mpya iitwayo Good Time aliyomshirikisha Tiki.
Unaweza kuipakua kupitia link hiiii apo chini
https://mkito.com/song/12923




















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni