burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

9 Sep 2016

AY: Watangazaji wa Bongo changamkieni fursa kwenye media za kimataifa muitetee Bongo Fleva

                    13724556_1566245217014235_846656210_n
Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, AY amesema Wanaijeria na Wasouth wamejaa kwenye vituo vya nje na ndio maana wamekuwa wakiupa kipaumbele muziki kutoka nchi zao kabla ya kuufikiria ule wa Afrika Mashariki na kwingine.
“So mtu wa South Africa na Nigeria atafanya rotation za mtu anayetoka kwao kwanza. Ukiangalia kama kuna Mkenya gani anafanya kazi katika hivyo vituo, hamna Mkenya yeyote wala Mtanzania au Mganda,” amesema AY.
“Inafika time watu wenye fani za utangazaji ni vizuri kama wakiomba kazi katika maeneo hayo ili tuendelee kupata support sisi na watu wengine watakaokuja huko mbele,” ameongeza.
AY amedai kuwa kama Mtanzania hata yeye angekuwa anafanya kazi MTV au Tra

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni