burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

3 Sep 2016

BURUDANI Izzo Bizness aingia studio kurekodi na msanii wa Nigeria……

Ni rapper kutokea Mbeya, Izzo Bizness ambae anazimiliki headlines baada ya kuingia studio kurekodi na msanii wa Nigeria, YCEE.Wasanii hao waliingia studio Jumatano yaSept 31, 2016 kurekodi single hiyo ya pamoja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni