burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

3 Sep 2016

Staa wa Bongo Movie adaiwa kuzaa mtoto ambaye hajafanana na baba yake

September 02  2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza na  staa wa Bongo Movie Iren Uwoya kuhusu taarifa zilizosambaa kwenye mitandao kuwa mtoto aliyemzaa si wa mume  wake Ndikumana kwa kuwa hajafanana naye,
       nimekuwekea hapa full story kusiliza BOFYA hapo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni