burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

12 Feb 2017

Mafikiniko hayaji hivi hivi bila kupitia changamoto mbali mbali - Gbros De Voice

Image may contain: 2 people, people standing, stripes and indoor
YULE mkali mwingine toka bongo kafunguka kwa kusema huwezi pata mafanikio bila kupitia changamoto
Gbros De Voice aliiambia G.LOVETZ  kuwa yupo katika kutengeneza mziki mzuri na wenye hadhi na kukubalika na jamii nzima iwe kwa watoto na wakubwa pia hivyo subirieni kitu kizuri toka kwangu. alimalizia kwa kusema anawapenda wote

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni