Tarehe 3, Oktoba, 2015, Roma na mkewe walifunga ndoa huko Tanga. Roma ameiambia glovetz kuwa amejifunza mambo mengi kwenye maisha ya ndoa. Anadai kuwa kuwa mume ni dhamana. Wawili hao wana mtoto mmoja wa kiume.
Tunakukumbusha na picha zao ndoa yao hapo chini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni