Msanii mkongwe tz anaejulikana kwa jina la stevu wa RnB kasema sababu inayomfanya aonekane kimnya kimziki hasa,stevu aliongea vingi hasa vitu vinavyomfanya awe slow kuachia nyimbo
Stevu alizungumza na g.lovetz akasema kuwa ''Mashabiki wangu wanalalamikaa sana kua niko kimnya lakini ukweli ni kwamba safari zangu zinanifanya niwe slow kidogo kutokana na siwezi achia nyimbo na nikawa sipo home kibiashara....
Stevu alifunguka vingi sana na kuna mistake alioifanya mwanzo hataki ijirudie stevu aliongezea "mistake niliofanya mwanzo staki ijirudie ya kuachia nyimbo ambayo ilipendwa sana na mashabiki wangu ilikuwa ni jambo jambo nilipotoa tu ile nyimbo nikasafiri na nikawa sipo hapa mjini watu walinitafuta sana kwa ajili ya inteviews na showz sikuwa available" alisema stuve wa RnB
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni