burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

6 Okt 2016

Yayah Prince ndani ya 5 select leo ijumaa

Anaitwa yayah prince msanii chipukizi ndani EATV  kwenye cha 5 select yayah atakuwa live leo ijumaa ya tarehe 7 mwezi huu wa kumi
Yayah Prince aliongea na g.lovetz na kusema kuwa kajipanga kutembelea vituo mbali mbali vya tv na maredio pia anawaomba mafansi wake kukaa mkao wa kula kwa kuwa yuko mbioni kufanya kazi nyingi yenye ujazo ulio shiba ndani yake



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni