burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

29 Nov 2016

Exclusive Interview Ndani ya KIBO FM na Jobfire wa Melody[SAUTI ZA MATUKIO]

Msanii machachali toka pande za kilimanjaro anaefanya vizuri ni kazi yake mpya inayotambulika kwa jina la NI SAWA  anaekwenda kwa jina la Jobfire wa melody au waweza mwita sauti za matukio 

Jobfire wa melody amesema kesho siku ya jumatano tarehe 30 atakuwepo ndani ya kibo fm kuitambuisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ni sawa pia jobfire wa melody hato kuwa pekee ake atasindikizwa na wasaa wakali toka kilimanjaro akiwemo TOP B dhahabu ya kaskazini bila kumsahau JAY WA LEO PLUS na wengine wengi hii si ya kuikosa mtu wangu wa nguvu

Jobfire wa melody ameiambia g.lovetz kwamba kwa sasa anahakikisha usambazaji wa nyimbo wa nyimbo yake mpya unakwenda sawa 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni