burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

30 Nov 2016

Joh Makini, Shettah, Ycee waipa nguvu remix ya Wabe ya P-Unit

Kundi la P-Unit la nchini Kenya linatarajia kuachia remix ya wimbo wake Wabe.
15306081_167776937022625_6669723429140168704_n
Kwenye remix hiyo wamewashirikisha Joh Makini, Shettah, rapper wa Nigeria Ycee na Kristoff.
Hata hivyo P-Unit hawasema remix hiyo itaachiwa lini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni