burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

30 Nov 2016

Msanii Jobfire wa Melody Aachia Ngoma ya Funga mwaka



Msanii anekuja kwa spidi kama moto wa kifuu hivi siku chache zilizopita aliachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la NI SAWA  imeonekena kuwabamba wengi na kusikika kwenye vituo mbala mbali vya redio
kama hukuisikia hii ngoma ni wakati wako sasa gusa kwa HAPA kuipata

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni