burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

29 Nov 2016

Maua Sama afikiria kumleta muongozaji wa nje kwaajili ya video ya ‘Sisikii’

Maua Sama amekiri kuwa video ya wimbo wake Sisikii imechelewa kutoka lakini mpango wake ni kumleta muongozaji wa nje kwaajili ya kazi hiyo.
14730740_738420099643409_1139081384812347392_n
“Tunaifanyia hapa hapa Tanzania ila tulikuwa tunafikiria mimi na management yangu tulete director kutoka wapi,” Maua alimuambia mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger.
Kwa upande mwingine anasema sababu nyingine ya kuchelewa kwa video yake ni kutokana na kuwa ni wimbo uliovuja. Hata hivyo amesema mpango wa kuifanyia video upo pale pale.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni