Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, AY amesema Wanaijeria na Wasouth wamejaa kwenye vituo vya nje na ndio maana wamekuwa wakiupa kipaumbele muziki kutoka nchi zao kabla ya kuufikiria ule wa Afrika Mashariki na kwingine.
“So mtu wa South Africa na Nigeria atafanya rotation za mtu anayetoka kwao kwanza. Ukiangalia kama kuna Mkenya gani anafanya kazi katika hivyo vituo, hamna Mkenya yeyote wala Mtanzania au Mganda,” amesema AY.
“Inafika time watu wenye fani za utangazaji ni vizuri kama wakiomba kazi katika maeneo hayo ili tuendelee kupata support sisi na watu wengine watakaokuja huko mbele,” ameongeza.
AY amedai kuwa kama Mtanzania hata yeye angekuwa anafanya kazi MTV au Tra
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni