burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

9 Sep 2016

Ben Pol aingia kwenye kilimo, analima mpunga, vitunguu na mahindi

           Ben Pol
        Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, ‘Moyo Mashine’ amesema kwa sasa analima mahindi, vitunguu pamoja na mpunga.
“Moyo Mashine umenifanya nitimize ndoto yangu ya siku nyingi ambayo ilikuwa ni kufanya shughuli nyingine nje ya muziki, faida ya Moyo Mashione imenifanya nianze kufanya shughuli za kilimo nikiwa ninalima mpunga, vitunguu na hata mahindi” Ben Pol alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV.
Ben Pol amesema wimbo ‘Moyo Mashine’ ni wimbo ambao umempatia madeal mbalimbali pamoja na kumtimiza ndoto yake ya kufungua miradi mbalimbali ambayo itamwingizia pesa nje ya muziki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni