Majina ya washiriki katika tuzo kubwa mbalimbali yamekua yakiendelea kutajwa na tuzo nyingine ambayo majina ya wanaowania yametajwa ni tuzo za MTVEMA, ambazo Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika.
Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards ni tuzo za mziki za MTV barani Ulaya ,kama ilivyo MTVMAMA kwa Africa. Kupitia mtandao wake wa Instagram Alikibaameeleza jinsi ambavyo mashabiki wake wanaweza kumpigia kura.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni