staa wa bongofleva Q Chillah, kuhusiana na staa huyo kuwa ameshindwa kusafiri kwenda Afrika kusini kwa ajili ya kwenda kurekodi na msanii mkubwa wa Nigeria kutokana na Passiport yake kuchomolewa kwenye begi na mtu wa karibu……
‘Passport yangu imeibiwa siku hiyohiyo ambayo mkurugenzi ananiambia tunaondoka, ni kama kuna mtu ameichomoa kwenye begi kwa sababu mimi nilimkabidhi passport yangu kwa sababu last time tulipoenda kushoot ngoma ya sungura tuliporudi tu passport alikuwa anakaa nayo yeye lakini cha kushangaza zaidi imepatikana yake yangu haionekani‘
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni