burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

10 Okt 2016

AMRI THE BUSINESS NDANI YA PAPASO TAREH 12 MWEZI HUU


anaitwaga C.E.O  wa MTAA KWA  MTAA  atakuwa ndani ya papaso ya Djaro Arungu alise na g.lovetz kuwa usije kosa ukiwa kama shabiki wake
aliongezae kuwa atkuwa live ndani ya TBC FM juma tano hii na BABA MZAZI  @Djaro Arungu hakika hii sio ya kuikosa kabisa ifakapo saa moja kamili kuwa karibu na redio yako ukifungulia TBC FM  huyu jamaa ana mengi ya kukwambia 




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni