burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

17 Okt 2016

Msanii wa Bongo fleva Jobfire wa melody atoa tamko kubwa kwa wasanii Barnaba boy na Beka flavour wa Yamoto Band


msanii wa Bongo fleva Jobfire wa melody Afunguka na kuwataja wasanii ambao ni Roe Model wake ambao anawakubali kutoka moyoni na kaongea na G.lovetz amesema kwamba kuna vitu wasanii hao wanavyo ambavyo ni vikubwa sana katika mziki pendwa wa bongo fleva na amekuwa akiwafatilia siku hadi siku kupata update zao na kuhakikisha Role Model wake ambao ni Beka1 flavour na Barnaba class
Msanii huyo amesema kuwa licha ya kwamba bado hajafanikiwa kufanya kazi na wasanii hao ila kwamba kila jambo lina wakati wake na ukifika muda atatiza adhma yake ya kufanya kazi na wasanii hao pia alinogesha kwa kutaja baadhi ya mashairi ya wasanii hao ambao yanamkosha sana msanii huyo Jobfire wa melody
ikiwemo kipande alichoimba beka1flavour zamani babu kanifunza kupenda ishara kujidai huna sababu ya kununa wakati ngoma ing'aing'ai na kipande cha barnaba classic kinachosema mpenzi wako unamhudumia Eeeeehh,wengine wanakuja kukuchukulia Ebooo hamna love siku hizi wananunua Eeeee ,nawakubali sana hawa watu ni mafundi alisema jobfire wa melody
ukisikiliza kazi zangu utafahamu nini namaanisha katika hili maana katika kazi zangu utagundua sauti namitindo yangu na uandishi pamoja na uimbaji huwa vinafanana na kazi za hawa wasanii Bek1 flavour na Barnaba classic,alisema jobfire wa melody
keep On Moving Jobfre wa melody


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni