burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

13 Okt 2016

Jaguar akamilisha kushoot video yake mpya na rapper wa Ghana

14474484_1118351624908470_7532999052338659328_n

Msanii wa Kenya, Jaguar amekamilisha kushoot video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha rapper wa Ghana, Elom Adablah aka E.L.Siku chache zilizopita muimbaji huyo alitua mjini Accra kwa ajili ya kushoot video yake hiyo ya wimbo alioupa jina la ‘Warrior’. Hii ni mara ya tatu mfululizo Jaguar kushoot video zake nje ya Kenya na ni mara ya kwanza kushoot nchini Ghana.
14504908_347829025558548_1331680199539949568_n
Bado haijajulikana ni lini video hiyo ataiachia lakini imedaiwa kuwa muda si mrefu itaanza kuonekana.

Jiunge na g.loveTZ.com sasa

Gusa HAPA kwa kumjua zaidi







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni