burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

11 Okt 2016

Hii ndio kamera mpya anayoitumia Nisher, amenunua shilingi milioni 30

nisher-ndani-ya-mtambo-mpya
Mtayarishaji wa video za muziki nchini, Nisher baada ya ukimya wa muda mrefu bila kuachia kazi anajipanga kuja kuvingene huku akiwa na vifaa vipya na vya gharama kubwa.
Mshindi huyo wa tuzo ya Muongozaji wa Video anayependwa katika Tuzo za watu 2014, ameonyesha kijihimarisha zaidi katika vifaa ili kukabiliana na ushidani uliopo kwenye game.
“Now me to re-introduce Myself My Name is NISHER, DIRECTOR NISHER. Cant wait for you to see what I’m doing with MY ALL NEW $ 15,000 Camera. It’s Crazy!!,” aliandika Nisher instagram.
Nisher ni mmoja kati ya waongozaji wa video nchini ambao walifanya vizuri katika tasnia ya muziki na kufanya mapinduzi.

G.LOVETZ.BLOGSPOT.COM

kama ulipitwa na video ya G.LOVE-TUKO PAMOJA hii apa

kwa kuitazama gusa  HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni